Mwenyekiti wa Kampuni za Bakhresa, Mzee Said Salim Bakhresa, amewashauri vijana kutumia vyema fursa zilizopo kwa kufanya kazi kwa bidii, nidhamu na uadilifu ili kujijengea maisha bora na kuchangia maendeleo ya taifa.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)