Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea riwaya inayoitwa “Knock” iliyoandikwa na Arai Motoko. Hii ni simulizi fupi ya kubuni kuhusu mti kafuri wa ajabu na ajuza. Mti mkubwa wa kafuri ambao pengine una mamia ya miaka upo katika bustani ya mapumziko jirani na nyumbani kwa mhusika mkuu wa simulizi hii. Siku moja, mhusika akiwa mdogo anamwona ajuza wa maajabu amesimama mbele ya mti huo. Hapo anakutana na tukio la kushangaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *