CAFCC: “Tunarudi Zanzibar kwenda kukabiliana na CR Belouizdad”
Afisa Habari wa Singida BS, Hussein Massanza anasema mechi yao dhidi ya CR Belouizdad ni mchezo wa kisasi kutokana na matokeo waliyoyapata katika mchezo wa mkondo wa kwanza nchini Algeria.
Singida BS ilifungwa magoli 2-0.
Mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) utapigwa Jumapili ya Februari 8, 2026.
#CAFCC