CAFCL: Nyota wa zamani wa Simba SC, Duwa Said anasema vijana hao wa Msimbazi hawatocheza kama walivyocheza kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya Petro Atletico katika dimba la Benjamin Mkapa.

Simba ilipoteza kwa goli 1-0 na timu hizo zitamenyana tena Februari 7, 2026.

#CAFCL #SimbaSC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *