
Ethiopia yakanusha madai ya Trump kuwa Marekani ilifadhili bwawa lake kubwa
Waziri Mkuu wa Ethiopia amepinga madai ya Rais wa Marekani Donald Trump, akisema kuwa hakuna mikopo wala msaada wa kifedha wa kigeni uliopokelewa kwa ajili ya ujenzi wa bwawa hilo.