KICKSTART WAELEZA TEKNOLOJIA RAHISI YA UMWAGILIAJI KUSAIDIA WAKULIMA
Wadau mbalimbali wa Kilimo wametumia kongamano la kilimo Endelevu linalofanyika mara ya kwanza barani Afrika kueleza teknolojia rahisi ambazo ni muhimu kwaajili ya Kilimo Cha UMWAGILIAJI kufuatia changamoto ya mabadiliko ya Tabia nchi.