Mamia ya waombolezaji wakiwemo viongozi wa serikali, wanasiasa na wananchi wa kawaida wamejitokeza katika maziko ya aliyewahi kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (M-NEC) na mmiliki wa mabasi ya NBS, Nassor Hamdani aliyefariki jana Februari pili na maziko yake kufanyika leo Februari tatu mkoani Tabora.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *