Ndugu mteja wa AzamTV tumebadili namba yetu ya kujihudumia kutoka *150*50*5# kwenda *148*10#

Kwa sasa namba hii inapatikana kwa wateja wa Airtel pekee. Muda si mrefu namba hii itapatikana pia kwa wateja wa mitandao mingine.

Kwa kupiga *148*10# unaweza kujihudumia huduma zifuatazo
kutuma ujumbe wa kuwasha chaneli
Kubadilisha kifurushi
Kusajili kifurushi kipya
Kuangalia salio kwenye kisimbuzi chako

#AzamTVBurudaniKwaWote

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *