SAFARI YA YANGA: “Sare haitokuwa mbaya kwetu”
Kocha wa Yanga SC, Pedro Goncalves anasema mechi yao dhidi ya AS FAR ni mchezo ambao kama wakishinda watakuwa wafuzu robo fainali, kama wakitoa sare watakuwa wameweka hai matumaini yao.
Ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) ambao utapigwa Februari 7, saa 4:00 usiku kwa saa za Tanzania.
#Yanga #CAFCL