Shirika la Posta nchini limesema limerejesha huduma za ushindani wa kidijitali katika shughuli za usafirishaji mizigo ili kuongeza wigo wa utoaji ajira zaidi nchini sambamba na kuendana na soko la kisasa.
Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Shirika la Posta, Ferdinand Kabyemela alipozungumza na wanahabari na kuongeza kuwa licha ya ajira pia wajasiriamali wadogo na wa kati watanufaika na huduma hizo.
Taarifa ya Sheila Mkumba.
Mhariri @moseskwindi