Shule ya Sekondari Geita, inayosimamiwa na serikali, imeandika historia mpya baada ya kufaulisha wanafunzi wote wa kidato cha nne katika mitihani ya taifa kwa kupata daraja la kwanza, na hivyo kuifanya shule hiyo kuwa ya kwanza kimkoa miongoni mwa shule za serikali.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *