VIWANJANI: “Katika michakato yote ya nyuma hiki ndicho kipindi ambacho unaona Yanga wamesogea zaidi kukaribia kujenga uwanja”
Mchambuzi wa soka ambaye pia ni mwandishi wa habari Philip Nkini, amesema Yanga SC kwa nyakati tofauti za uongozi wamekuwa na mchakato wa ujenzi wa uwanja jambo ambalo halikufanikiwa.

Nkini amesema uongozi wa sasa unaonesha nia ya kukaribia kufanikisha ujenzi huo. Jana jumatatu Yanga SC iliitangaza kampuni ya GSM Tanzania ndiye mshindi wa ujenzi wa uwanja.

Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz

#Viwanjani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *