VIWANJANI: Mchambuzi wa soka Iddy Nonga, amesema wachezaji wa timu ya KMC wanahitaji ushauri wa kisaikolojia zaidi kuelekea mchezo wao wa leo dhidi ya Mashujaa FC ili kujiweka katika nafasi nzuri kutokana na hali wanayopitia.

Mchambuzi huyo amesema wachezaji wanapaswa kujitoa kwa kila hali bila kujali matokeo ya nyuma ili waweze kuzitafuta alama tatu muhimu.

KMC FC itashuka dimbani dhidi ya Mashujaa FC leo saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz

#Viwanjani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *