VIWANJANI: “Simba atabaki kuwa mkubwa”
Mchambuzi wa soka @nkiniphilip anasema Simba itahitaji kwenda kuionesha Petro Atletico ya kwamba wao waliteleza na sio kuanguka katika mechi zao zilizopita za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Simba itakuwa ugenini Jumamosi ya Februari 7, nchini Angola kucheza dhidi ya Petro Atletico saa 1:00 usiku na mechi itakuwa LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#Viwanjani