VIWANJANI: “Young Africans kwenye hilo wamefanikiwa”
Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis amesifu maoni ya Rais wa Yanga SC, Hersi Said kwa namna uongozi wake unavyosaidia kukuza chapa ya timu hiyo ndani na nje ya Tanzania.
Jana Jumatatu Yanga walimtangaza mshindi wa tenda ambaye watashirikiana naye katika ujenzi wa uwanja wao.
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#NBCPL #NBCPremierLeague