Wakazi wa Sumbawanga wameiomba serikali wilayani humo kuhakikisha inaondoa vikundi vya vijana wanaochezesha Kamari, waliopiga kambi kwenye mageti ya kuingilia katika soko la Sabasaba na Mandela, ambapo wanawalazimisha watu kucheza michezo hiyo kisha kuwatapeli fedha zao.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi