Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba amekutana na Naibu Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Doto Biteko.
Viongozi hao wamekutana na kufanya mazungumzo ofisini kwa Waziri Mkuu Nchemba bungeni jijini Dodoma leo Jumanne Februari 3, 2026.