Wikiendi iliyopita kwenye usiku wa tuzo za Utalii za Serengeti zilizofanyika mkoani Arusha, shabiki maarufu wa klabu ya #ManchesterCity ya Uingereza, @braydonbentpage alipewa tuzo maalum ya heshima kufuatia juhudi zake za kuitangaza Tanzania na ndoto aliyoiimba kwa muda mrefu ya kutembelea vivutio vya utalii nchini.
#utalii #azamsports