BSS MEDIA TOUR | Tulianza na makofi ya kumpongeza jaji mpya wa @bongostarsearch atakayeshughulika na eneo la komedi (ucheshi) kwenye usili unaotarajia kuanza Februari 07 na 08 jijini Mwanza.

#BSSNextLevelRevolution

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *