MASHABIKI WA SIMBA SC: “Tushapoteza matumaini ya kuendelea mbele kutokana na matokeo tuliyopata nyumbani”
Mashabiki wa klabu ya Simba wamesema kuelekea mchezo wao dhidi ya Atletico De Luanda ya nchini Angola hawana tumaini la kusonga mbele katika Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) hivyo wanatumaini mchezo huo utatumika kuijenga timu yao kuelekea michezo ya NBC Premier league.
Mashabiki hao wamesema Simba inapaswa kushinda michezo iliyobaki ili isitoke kinyonge katika kundi lao.
Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz
#Viwanjani