NBC Premier League leo Jumatano
Saa 10:00 jioni, Fountain Gate watakuwa uwanja wa nyumbani Tanzanite Kwaraa wakiwakaribisha Namungo FC.
Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama NBCPL mwezi mzima.
#NBCPL #SisiNiSoka #azamtvsportshd