Saratani si hukumu ya mwisho…ni mapambano yanayohitaji sauti zetu zote, hatua zetu zote na imani kwamba kwa pamoja, tunaweza kubadili simulizi ya hofu kuwa ya matumaini kwa kuimarisha dhamira ya pamoja ya kupambana na ugonjwa huu kupitia elimu, uchunguzi wa mapema na msaada wa kijamii.

Je, umechukua hatua zipi kuilinda familia yako, jamii dhidi ya Saratani? Tuandikie maoni yako.

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *