Serikali imeagiza Mamlaka ya Udhibiti wa usafiri Ardhini (LATRA) kuwachukulia hatua kali za kisheria madereva na makondakta wa daladala watakaobainika kuwanyanyasa wanafunzi huku wazazi na walezi wakipongeza hatua hiyo.

Tumie Omary amefuatilia agizo hilo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *