Serikali imeshauriwa kuwekeza zaidi katika sekta ya ardhi na kuhakikisha inatoa hati kwa wananchi kwa wakati ili kuepukana na migogoro ya ardhi.
Ushauri huo umetolewa na Mbunge wa Jimbo la Missenyi, Florent Kyombo, wakati akichangia hoja bungeni jijini Dodoma, ambapo amesema kumekuwapo na ukosefu wa uwiano kati ya makusanyo yanayopatikana katika sekta ya ardhi na mahitaji halisi ya kuendeleza sekta hiyo.
Mhariri | John Mbalamwezi
#azamtvupdatese