Huduma ya lugha ya Kiswahili ya NHK WORLD-JAPAN inataka kusikia kutoka kwa wasikilizaji. Ujumbe utakaopokelewa utatumiwa hususani katika matangazo yetu ya kila wiki ya “Ukumbi wa Jumapili” na kwenye tovuti yetu. Ujumbe unaweza kuhaririwa bila kuathiri maudhui yake. Tunaweza pia kuutumia katika huduma zingine za NHK kwa idhini.
Sauti zenu zitasaidia kuimarisha vipindi vyetu. Tunakaribisha maoni na mrejesho. Tafadhali soma kwa makini masharti ya matumizi kabla ya kutuma ujumbe wako kupitia hapa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *