4 Februari 2026

Katika juhudi za kuleta utulivu wa kudumu nchini Kongo, Umoja wa Afrika umeanzisha jopo maalum la upatanishi linalolenga kuratibu mazungumzo na kuhimiza ushirikiano wa kikanda. Ushiriki wa Museveni, Kenyatta, Obasanjo na wengine unaibua matumaini kwamba safari ya kuelekea amani ya kudumu huenda ikawa imepata mwanga mpya.

https://p.dw.com/p/584gC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *