VIWANJANI: “Fedha katika mpira wetu zipo ligi kuu sana…”
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), anayewakilisha Mkoa wa Mara Augustine Mgendi, amesema changamoto kubwa iliyoikumba klabu ya Biashara United ni kukosekana kwa wadhamini hasa baada ya timu hiyo kushuka daraja.

Mgendi amesema fedha nyingi katika mpira wetu hupatikana ligi kuu hivyo kushuka daraja kwa Biashara United kumeshusha mapato ya klabu hiyo.

Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz

#Viwanjani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *