VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis amesema KMC FC inatakiwa kushinda michezo yake miwili iliyosalia kwenye mzunguko wa kwanza wa NBC Premier League ili kufufua matumaini ya kusogea nafasi za juu.

Rashidi Hamisi amesema tofauti na ushindi KMC haina tumaini lingine la kumsogeza nafasi za juu katika msimamo wa ligi kuu ya NBC.

Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz

#NBCPremier League#KMCFC#

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *