VIWANJANI: “Yale mahitaji amabayo Wydad wanataka kwa Aziz imekuwa ngumu sana kwake…”
Mchambuzi wa soka Iddy Nonga amesema ujio wa nyota wakubwa katika soka kwenye klabu ya Wydad Casablanca kumeweka nafasi ya mchezaji Stephane Aziz Ki katika wakati mgumu jambo ambalo kusababisha kuondoka klabuni hapo.
Nonga amesema Wydad ni moja ya klabu ambayo haina uvumilivu kwa mchezaji anaposajiliwa.
Wydad ilimsajili Aziz Ki akitokea Yanga SC msimu uliopita.
#AzizKi #Wydad