Wakala wa Huduma za Misitu Shamba la Miti Geita – Lwamgasa wameteketeza shamba lililolimwa bangi kwa kuchanganywa na mahindi.�Uteketezaji huo umefanywa kwa ushirikiano na Kamati ya ulinzi na Usalama wilaya ya Geita.
Ester Sumira ameaanda taarifa ifuatayo.
Mhariri @moseskwindi