Wataalamu wa elimu nchini wameshauri kuzingatiwa kwa stadi zote za msingi za kujifunza lugha hususani kuzungumza na kusikiliza ili kuongeza na kuimarisha ufaulu wa wanafunzi katika masomo hayo.
Taarifa ifuatayo ina maelezo Zaidi.
Mhariri @moseskwindi