Watumiaji wa vyombo vya moto vinavyotumia petroli wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei kwa mwezi Februari, huku kwa watumiaji wa dizeli na mafuta ya taa hali ikiwa tofauti.
Hali hiyo imetokana na petroli kuendelea kupanda bei, kwa mujibu wa bei kikomo zilizotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), zitakazotumika kuanzia leo.
Mhariri | John Mbalamwezi
#AzamTVUpdated