ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Tazama shangwe la KMC FC baada ya kuzinyakua alama zote tatu mbele ya Mashujaa FC, katika mchezo wa NBC Premier League uliopigwa jana katika dimba la Majaliwa Ruangwa Lindi.
Ni #Zilizobamba mitandaoni kupitia kipindi cha #Viwanjani
#Viwanjani #Zilizobamba