Iran na Marekani zimekubaliana kufanya mazungumzo ya nyuklia kesho Ijumaa nchini Oman+++Hasira na maswali mengi yanaendelea kuibuka nchini Senegal, kufuatia tuhuma nzito dhidi ya kampuni ya Kichina ya Softcare, inayotengeneza taulo za kike na nepi za watoto.