Ukraine yasema mazungumzo na Urusi na Marekani yanayoendelea Abu Dhabi ni ya tija. Iran na Marekani kufanya mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia nchini Oman. Na Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz yuko mjini Riyadh, Saudi Arabia, katika ziara yake ya kwanza eneo la Ghuba.