AFCON 2027 YAPAMBA MOTO: “Tunaunda kamati saba”
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla amezungumzia maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa #AFCON Arusha huku akifafanua majukumu ya kamati saba ambazo wataziunda.

Moja ya kamati hizo ni ile ya kuhakikisha ulinzi na usalama unasimamiwa kwa usahihi. Kuna kamati ya usafi, kamati ya utalii na kamati ya itifaki.

Makalla anasema wanataka michuano ya AFCON ambayo itaacha hela mifukoni mwa watu.

#AFCON2027

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *