CAFCC: Tazama ‘kispika’ cha mashabiki wa Azam FC kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya AS Maniema.
Kispika kimepigwa ndani ya studio za Azam TV.
Mechi hiyo itapigwa Jumaosi ya Februari 7, saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports3HD
#CAFCC #AzamFC