#HABARI: Baraza Kuu la Waislamu wa Kenya limeonya kwamba hali ya ukame inayoshudiwa kwa sasa katika Kaunti 23 nchini Kenya imefikia hali mbaya huku likiitaja kama dharura kamili ya kibinadamu, na kuitisha hatua za Kitaifa zichukuliwe ili kuokoa maisha ya binadamu na mifugo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
(Feed generated with FetchRSS)