IITA YADHAMIRIA KUWA UNGANISHA WAKULIMA WENGI ZAIDI NA TAASISI ZA MIKOPO
Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo cha Kitropiki (IITA) Inaonesha nia yake ya kuwa unganisha wakulima wengi zaidi na Taasisi za Fedha za kuaminika ili kuwafanya watumie Teknolojia za kisasa kwenye Kilimo.
Mtafiti kutoka Taasisi hiyo Frederick Baijukya ameeleza azma hiyo kwenye mahojiano maalumu na maandishi wetu kwenye kongamano la kilimo Endelevu linalofanyika Dar es salaam.