KUTOKA ANGOLA: Simba bado inahitaji alama tatu, licha ya kuwa na matumaini finyu kwenye kundi lake.

Hayo yamesemwa na Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally jana wakati kikosi cha Simba SC kilipowasili Luanda.

Maandalizi ya kusaka alama tatu yanaendelea jijini Luanda na leo kikosi cha Simba SC kitaendelea na mazoezi.

Mnyama atashuka dimbani Jumamosi ya Februari 7, na mechi itakuwa LIVE #AzamSports2HD saa 1:00 usiku.

#CAFCL #SimbaSC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *