KUTOKA MOROCCO: Kikosi cha Yanga kikitoka hotelini kuelekea uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS FAR Jumamosi Februari 7, 2026.

Mechi itapigwa saa 4:00 usiku kwa saa za Tanzania na itakuwa LIVE #AzamSports1HD

#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *