Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mafuriko, maporomoko ya ardhi, uharibifu wa miundombinu na mazingira, milipuko ya magonjwa pamoja na upotevu wa mali na maisha katika maeneo hatarishi kutokana na utabiri wa mwelekeo wa mvua za masika kwa kipindi cha Machi hadi Mei mwaka huu.
Mhariri @moseskwindi