WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Joel Nanauka, hundi ya sh bilioni 200 ambazo ni ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mitaji ya kuwawezesha vijana na wanawake, hafla hiyo imefanyika Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, leo Februari 05, 2026.

Kulia ni kutoka kwa Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar na kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) William Lukuvi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *