Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb), amesema serikali imetenga jumla ya shilingi Bilioni 9.167 kulipa fidia kwa wananchi wa eneo la Mindu, Manispaa ya Morogoro, waliopisha ujenzi wa Bwawa la Mindu
#StarTvUpdate