Takribani watu 200 wanahofiwa kufariki dunia kufuatia mashambulio ya watu wenye silaha katika maeneo ya kati na kaskazini mwa nchi ya Nigeria.

Shambulio kubwa zaidi limeripotiwa kutokea katika Jimbo la Kwara, ambapo zaidi ya watu 170 wanadaiwa kuuawa katika tukio hilo, huku maeneo mengine yakiripotiwa kushambuliwa kwa nyakati tofauti.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *