Tanzania imeingia katika nchini zenye ushawishi mkubwa wa rasilimali za madini ya kimkakati na adimu duniani ikishika nafasi ya nne kwa wingi wa madini hayo ardhini na ya ikishika nafasi ya tatu Afrika.
Turufu kubwa ikitajwa kuwepo katika madini adimu ambayo wadau wanashauri ni vyema kuhakikisha sheria na mikataba inakuwa nyoofu na kuingiwa kwa uangalifu kuepusha unyonywaji wa rasimali hiyo muhimu.
Mhariri @moseskwindi