Uturuki imelaani shambulizi la kigaidi nchini Nigeria lililoua takriban watu 170
Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki yalaani kitendo cha ugaidi na kutoa rambirambi kwa familia za walio poteza maisha kufuatia shambulio lililotekelezwa na makundi yenye silaha katika jimbo la Kwara.