
Uturuki na Saudi Arabia kuimarisha ushirikiano wa ulinzi na uwekezaji katika ndege za kivita za KAAN
Uturuki na Saudi Arabi zatia saini makubaliano ‘muhimu’ ya ushirikiano wa sekta ya ulinzi huku Rais wa Uturuki Erdogan akieleza azma ya Uturuki ya kupanua mikataba hiyo.