VIWANJANI: “Baada ya kuaminiwa inaonekana ule muarobaini umepatikana katika eneo la kiungo”
Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis amesema Mohammed Damaro ni suluhisho la kiungo katika klabu ya Yanga.

Rashidy amesema uwezo wa mchezaji huyo na kipaji anachoonesha uwanjani vinaifanya timu hiyo kufanya vizuri katika eneo la kiungo baada ya kuondoka kwa kiungo Khalid Aucho.

Yanga ilimsajili Damaro kutoka Singida BS.

Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *