VIWANJANI: “Wakati mwingine ni kuwa na wakati mbaya kazini”
Mchambuzi wa soka mwenye taaluma ya ukocha Michael Hyera amesema kupanda kwa viwango vya uchezaji miongoni mwa mabeki wa Yanga SC kulisababisha kiwango cha beki Bakari Mwamnyeto kutokuwa katika mfumo mzuri.

Hyera amesema kutokuwa katika ubora nyakati zote hutokea sehemu yeyote si katika mpira tu.

Yanga ipo Morocco kwaajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo itamenyana na AS FAR, Februari 7.
Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *